NAWA MIKONO PINDI UTOKAPO MAENEO..Otherwise!

NAWA MIKONO PINDI UTOKAPO MAENEO..Otherwise!

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
Kunawa mikono.jpg
kunawa mikono ni muhimu sana ....
 
Wakuu mbona ipo wazi kabisa..?
Msiponawa mikono mkitoka haja ndogo kupeana mikono inakuwa ni sawa na kushikana maeneo
 
Nilitoka kapa. Lakini baada ufafanuzi nimeelewa vilivyo.

Very good message!!
 
Wakuu mbona ipo wazi kabisa..?
Msiponawa mikono mkitoka haja ndogo kupeana mikono inakuwa ni sawa na kushikana maeneo

aaaahhh kumebe ndo maana ya hizo picha. Nashukuru ndugu yangu maana nimezimbulia macho lakini sikuambulia kitu.
 
Umefanya vizuri kukumbusha kuna watu kunawa mikono mpaka aone msosi
 
Kumbe mtu akisalimiana na jisia tofauti inakuwa sawa na kushika nyeti za mwenzake? Kama concept ndio hiyo tumekwishashika nyeti nyingi sana! Kama za mashemeji nk.
 
Back
Top Bottom