Navunja ndoa ya mtu!!!!

Lara 1, kwenye maisha yako hadi leo, hujawahi singiziwa kuwa unatembea na fulani wakati si kweli? How did you handle it? Maana kuna wengine wakisingiziwa tu basi wanaamua kfanya kweli.
 
Mvaa Tai wewe fanya yako yakwao waachie wenyewe.
Inshort jifunze kutokana namakosa.
Na acha kabisa mawasiliano na huyo mama.
Tena mjamaa akikucall tena chimba bonge la biti asikuzoee kabisaaa.
Undava undava tu
Nimekupata kiongozi
 
Wivu wa hivi ni ulemavu kwakweli.

Si ulemavu tu Ni hatari sana!
Hilo la polisi usiache. Tena siku hizi polisi wanampigia simu mhusika ili mkutanishwe pamoja na anachimbwa biti mbele yako. Polisi wanafanya hivi siku hizi ili kuepusha madhara mapema kuliko kusubiri hadi la kutokea litokee halafu waanze upelelezi!
Nenda polisi mkuu upate nafasi ya kukutana na mheshimiwa mawivu ana kwa ana. Kwani unamjua hata sura yake?
 
Nalipeleka polisi kwa taarifa tu kwanza
 
Inawezekana kabisa mkuu, kwasababu angekuwa hana agenda ya siri angeweka mazingira ya kupata ukweli

Mkuu fuata ushauri wa AMU hapo juu,achana kabisa kuwasiliana na huyo mwanamke ikiwezekana mwambie afute
namba yako kabisa,no more call,msg neither!!fanya yako...usije pata stress kwa matatizo ya wengine
 
hao wa kuzira wapo wengi,
na huu mtindo wa kubembeleza watoto kwa kuwapa simu sijui hata unatokea wapi.
 
Sura yake naifahamu vizuri sana maana kuna siku tulikaa Meza moja kwenye harusi ya mshikaji wa ofisini yeye alikuwa na mkewe na mimi nilikuwa na mke wangu
 
Mkuu fuata ushauri wa AMU hapo juu,achana kabisa kuwasiliana na huyo mwanamke ikiwezekana mwambie afute
namba yako kabisa,no more call,msg neither!!fanya yako...usije pata stress kwa matatizo ya wengine
Poa mkuu
 
huo ni ukweli kabisa ase, hata daughters zao huwafuga kama nn kumbe anagegeda daughters za wengine aloo watu wabayaa.
 
Mimi yule mama alikuta SMS 1!!!!!!!! Ila huyu ni CONTINUING SITUATION!!!!!!!! Yule mume keshakwaruzana nae mara kadhaa ila hakomiii! Angekuwa wa kuelewa angeacha imediately baada ya contrdiction ya kwanza!!!!!!!!!INAKERA SANAAAAAAAAAA you want to spend some quality time na mtu wako japo usiku tu na MISIMU haiishi!!!!!! Kazi gani hizo ammeshinda wote, bado usiku kutughasi ghasi!!!!!!!! HAIHUUUUUUUUUU kabisaaaaaa!!!!!!Mi namuelewa huyo mume sanaaa! Kama ni kazi ya muhimu na ni usiku kwanini ASI TEXT basi ili hata wewe mume ukitaka kujiridhisha UONE EVIDENCE!!!!!!!!!!! Wao kongea tu, kutext No!!!!!! Mjini hapa wewe!!!!!!!!!
 
Mimi yule mama alikuta SMS 1!!!!!!!! Ila huyu ni CONTINUING SITUATION!!!!!!!! Yule mume keshakwaruzana nae mara kadhaa ila hakomiii! Angekuwa wa kuelewa angeacha imediately baada ya contrdiction ya kwanza!!!!!!!!!INAKERA SANAAAAAAAAAA you want to spend some quality time na mtu wako japo usiku tu na MISIMU haiishi!!!!!! Kazi gani hizo ammeshinda wote, bado usiku kutughasi ghasi!!!!!!!! HAIHUUUUUUUUUU kabisaaaaaa!!!!!!Mi namuelewa huyo mume sanaaa! Kama ni kazi ya muhimu na ni usiku kwanini ASI TEXT basi ili hata wewe mume ukitaka kujiridhisha UONE EVIDENCE!!!!!!!!!!! Wao kongea tu, kutext No!!!!!! Mjini hapa wewe!!!!!!!!!
 
Mkuu fuata ushauri wa AMU hapo juu,achana kabisa kuwasiliana na huyo mwanamke ikiwezekana mwambie afute
na
mba yako kabisa,no more call,msg neither!!fanya yako...usije pata stress kwa matatizo ya wengine
Ridhiko la bwana mawivu halitapattikana kwa huyu jamaa kuacha kuwasiliana na mke wa bwana mawivu, bali kwa kupata uhakika kuwa mkewe hajabanduliwa na jamaa. Na uhakika wa hili utapatika kwa jamaa kuhusisha polisi nq ndugu wengine, basi. Akae kimya then what next? Bwana mawivu akishaona ishu imehusisha watu tofauti, wakiwemo polisi, atageuka kuwa mlinzi wa ndugu yetu huyu maana anajuwa jamaa akipata madhara, mtuhumiwa wa kwanza atakuwa yeye...
 
We ndo maana nakupendaga, hucheleweshi, yeye mwenyewe ajifikifirie ni kwa kipind gani mzee wa watu kavumilia. Toka airport mwawasiliana tuuu, et kazi za kiofisi, hakumbuki shemeji katoka safari kamiss kitumbua, ye full kupiga. Kama mzee wa watu alikuwa katunisha suruali toka yuko angani na ukame wa kitumbua, kashuka ndan ya ndege kwenye gari full kula denda we waja na visimu vyako vya kiofisi. Hakyanan Sikuelewi. Tena kavumilia, ningekuwa mimi Mbona hata hilo la kutoka airport lingekuwa chungu
 
Hukunisoma vizuri lara 1 mimi huwa sipigii mke wa mtu kijinga jinga hivyo kwani mwenyewe nina mke nafahamu kero hii, kilichotokea ni kwamba simu alipiga mtoto akiwa anaichezea, sema kosa nililolifanya ni kutokui-lock na kuiweka mahala asipoweza kufikia mtoto
 
Last edited by a moderator:
Wivu jamani sio mzuri kabisa kwa hizi ndoa zetu. sasa jamaa anaweza kuvunja ndoa hivi hivi na mke hajafanya baya lolote.

tatizo la huyu bwana nikutumia hisia zaidi kuliko akili,wakati mwingine hisia zetu zinaweza kutupotosha na kutufanya kufanya mambo ya ajabu sana,ni vyema tukashirikisha akili zetu kisawa sawa.
 
Nimeipenda hii
 
Mkuu usipende kuwasiliana na wake za watu hata kama ni issue za kikazi,mke anauma wewe!!
 
Kipi bora huyu dada angebaki ofisini kumalizia majukumu yake yenye deadline kesho yake asubuhi au aende akampokee mpenzi wake ila aendelee kuwasiliana na watu aliowaacha ofisini kupata msaada wa kumaliza kazi yake?
 
Hata kama unapigiwa simu usiku, kwanini hataki kuutafuta ukweli? Hapo ndo kwenye tatizo la bwana mawivu. Kwani nani kasema sms zikiwa nyingi inamaanisha ngono? Inawezezekana hata hiyo sms moja tu ikaashiria tatizo. Bwana mawivu anatakiwa kuutafuta ukweli na si kuendeshwa na hisia.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…