Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
liko poa sana mkuu............upande wa mbele ni Yale mazulia soft ya manyoya sio Yale ya kukata hii bei ni sawa na bure ukizingatia bado jipya![]()
ila ungeweka na pikcha yako
liko poa sana mkuu............upande wa mbele ni Yale mazulia soft ya manyoya sio Yale ya kukata hii bei ni sawa na bure ukizingatia bado jipya![]()
70 best kumbuka garama za usafiri hazitakuhusuNjoo nalo mwanza man nakupa 65
Kama upo moshi nakuletea ulidhaminishe ndo ulipie kama upo mkoa mwingine unalipia nakutumia kwa basi pia garama za usafiri ni juu yakoNatuma hela ndio unalituma au unalituma ndio nalipa??
Unahama nini au ndo mwaka mpya unataka kuifufua sebure upya![]()
Pazia design hiyo yapo mawili kila moja elfu 20 ni mazito marefu hadi chini nichek WhatsApp 0763772636
Siami hii ni biashara yangu nauza mazulia na mapazia ya mtumba grade AUnahama nini au ndo mwaka mpya unataka kuifufua sebure upya
Anhaa hapo sawaSiami hii ni biashara yangu nauza mazulia na mapazia ya mtumba grade A
Sababu za kuuza mkuu !!
Hii ni biashara yangu kiongoziSababu za kuuza mkuu !!
Mbona kimya mkuu au zilikuwa siasaNakuja moshi yar 5 niwekee mkuu,0713522447
bei ikojeHabarini wapendwa
Nauza mazulia mazuri ya mtumba,nipo mbeya.Karibuni