Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
- Thread starter
- #21
Shida kitu kibaya sana
Shida kitu kibaya sana
Haa haa haa, umekariri mzeeWe mzee hujawahi kukosekana kwenye nyuzi za aina hii.
Hivyo siyo vitu vya ndani bali ni viungo vya ndaniNiliposoma heading Nauza vitu vyangu vya ndani nikajua anauza Organs zake,kama vile Mafigo na Moyo.
NatavyaanjeeNimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya
Vipo mwanza
Mawasiliano 0765682453
Ahsante Mungu akubarikiNatavyaanjee
Ungeweka picha pia ingeongeza weightNimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya
Vipo mwanza
Mawasiliano 0765682453
Kule Iringa ukisema vitu vya ndani wanamaanisha utumbo, firigisi maini, mapupu nkNilipoona heading nikajua labda "pichu"
Ni watu wazima hao ila maisha yamewachanganya sana tuwavumilie tuKwani lazima ucomment
Mnawaharibia wenzenu biashara zao kwa mambo yenu ya kijinga
Sent from
Ni mambo ya kijinga na ya kitoto,,utakuta wengine hapo ni watu wazima na familia zao!Kwani lazima ucomment
Mnawaharibia wenzenu biashara zao kwa mambo yenu ya kijinga
Sent from
Ongeza mkuu 1.8m nikuachie uko wap uje uvionePole Mkuu Ipo 1.5m mkono wa shati nivunje na tv & na hiyo home theatre.
No offense lakin ndo bajeti yangu.
Nilikuwa na 1.5 tu mkuu ok sawa lakin tuko pamoja boss.Ongeza mkuu 1.8m nikuachie uko wap uje uvione
Mm meza viti, tv na sound bar mkuu nikupe 1.8! Sijadharau bei zako la hasha! Ndo bajeti yangu usawa huu wa leoOngeza mkuu 1.8m nikuachie uko wap uje uvione
Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya
Vipo mwanza
Mawasiliano 0765682453
Hiyo meza ni ya kioo kayikati ina viti sita bei laki 5
View attachment 1801038
Ahsante mkuuPole sana Mkuu.
Bado mkuuMkuu umefanikiwa?