- Thread starter
- #21
Radio haiuzwi mkuu
Radio haiuzwi mkuu
vipo mkuu karibuHiyo meza na viti vyake vitatu bado vipo?kama vipo ni PM tubargain
hapana sirudi kijijini naenda mjini mkoa mwingineMkuu hongera kwa kujitahidi kuugawa mwezi wa Saba japokuwa ndio hivyo unarudi Kijiji.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
alaaaa kumbe umiamua kulalia mito powwamito nabakia nayo
ndiyo mkuualaaaa kumbe umiamua kulalia mito powwa
salamu zimefika kamandaWasalimie nyumbani!
pamoja
Mjini ni Dar tuu peke yake.hapana sirudi kijijini naenda mjini mkoa mwingine
sio kweli na arusha utasemaje?
makadirio futi 9urefu, upana futi5Mkuu capet ina ukubwa gani?
Post sent using JamiiForums mobile app
bado mkuu, karibu sanaUshauza?
Post sent using JamiiForums mobile app
Poa...kama hujauza jmos sizonje akifanya mambo utapata 50k au sio?makadirio futi 9urefu, upana futi5
ndiyo mkuu nakufa na kaburi nishachimba, hapo vipi?Kwani wewe sasa unakufa na huitaji tena vitu hivyo?
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app