- Thread starter
- #41
washanunua wanaojua business ni nini. naona watu wanatokwa povu humu utafikiri mali nayouza tulisaidiana kutafutaJamani mpigeni tafu kijana.ndio hakuna mnunuzi?
washanunua wanaojua business ni nini. naona watu wanatokwa povu humu utafikiri mali nayouza tulisaidiana kutafutaJamani mpigeni tafu kijana.ndio hakuna mnunuzi?
nishauza nashukuru kwa muitikio wakoPoa...kama hujauza jmos sizonje akifanya mambo utapata 50k au sio?
Post sent using JamiiForums mobile app
unaishi kwa kukariri mkuu?Watu wasio na ajira wanaanza kuepa mdogomdogo
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Nachukia sana kununua vitu mtandaoni mnauza bei kuzidi hata ya dukanihapana mkuu bei ya kawaida tuu, ila maongezi yapo
kama nini bei yake ni ya dukani?Nachukia sana kununua vitu mtandaoni mnauza bei kuzidi hata ya dukani
hata nikija kulala kwako sio mbaya mkuuSamahani mkuu wewe utalala wapi utakapouza hivi vitu?
Mmh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hata nikija kulala kwako sio mbaya mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]alaaaa kumbe umiamua kulalia mito powwa
Bei zake ziko juu sanaMkuu hii post kama imerudiwa inamaana wadawu hawakujitokeza?
-Ndumilakuwili-