Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

Tangazo bila hata picha ni kumpotezea hamasa mteja kukutafuta, picha ujiuza zaidi kuliko maneno matupu, unaweza sema sato kumbe kamongo lakni kama mteja ataona picha inakupunguzia wewe maswali kutoka kwa wateja. Sisemi uweke picha ya samaki wote, lakini sample inakuwa poa zaidi.
 
Okey

Okey naweka picha soon.asante kwa ushauri
 
IMG-20170317-WA0004.jpg
 
Mkuu ningeomba picha za kutosha pamoja na maelezo muhimu kama chanjo nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom