Nauza Vifaranga vya Kuchi

Nauza Vifaranga vya Kuchi

Mara paah,nimenunua kifaranga halafu kunguru kakiiba. Nitamkimbiza popote atakapoelekea hata kama nitamkosa kifaranga,nahakikisha namuua huyo kunguru
[emoji3] [emoji3] kunguru utamshikaje kashapaa
 
Mm nikitaka nyama ya Kuchi nakwenda buguruni au mbagara, pande la 5000 si mchezo mnakula hata watu5. Ila hiyo bei hapana
 
Kuna jamaaa pale mbagar huuza bei nafuu sna, nakumbuka miaka km3 nilinunua 20,000 mzima
 
Back
Top Bottom