Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,271
Ni batamzinga hao sio?[emoji1] [emoji1]Haha...acheni masihara nyinyi...hao watakua sio kuku bac
Ni batamzinga hao sio?[emoji1] [emoji1]Haha...acheni masihara nyinyi...hao watakua sio kuku bac
Haha...watakua mbuni hao....kifaranga cha mbuni kwa elfu 50 sawa...sio kuku wa aina yoyoteNi batamzinga hao sio?[emoji1] [emoji1]
Njoo sumbawanga nikuuzie kwa 25000 MKUBWA kifaranga 2000Napenda kuwasilimu wana Jf wenzangu. Ni jambo jema sana kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa afya na uhai.
Ninauza vifaranga vya kuku aina ya kuchi mdomo pini. Kuchi wenyewe kabisa sio hao wanaochanganywa na mbegu zingine.
Bei kwa kifaranga kuanzia cha siku 1 hadi siku 10 ni sh 50,000/=.
Wanapatikana hapa hapa dar eneo la Pugu.
NB: Pia ninazo aina zingine za kuchi.
Karibun sana, anayehitaji anichek PM.
Naweka picha ya hao kuchi mdomo pini![]()
![]()
![]()
![]()
Mmh sumbawanga hapana, anaweza akageuka paka usiku huyo kuku[emoji2] [emoji2]Njoo sumbawanga nikuuzie kwa 25000 MKUBWA kifaranga 2000
Naomba niuzie ndugu ,huyu jamaa bei yake ni maradufuhahahaha samahani mtoa mada umenchosha nahyo bei!kuchi ni kuchi tu mie ninao sijawah waza kuuza dah we kweli kiboko! kwel wewe mjasiriamali wa kuchi!mie ndo kwanza naazimisha bure majogoo !dah!kila laheri
Ntakucheki pmNamba ya simu pls...kama hutajali.
Hawa wazazi wao, vifaranga vyote vimenunuliwa. Nategemea kupata vifaranga vingine baada siku 4/5Hao vifaranga ulioweka wana umri gani?
Hawa wazazi siuzi mkuu. Naweza kukuuzia vifaranga au mayai. Nicheki pm kwa mawasilianoHao wa kwny picha ni bei gani? Au ndo 50K ?
Kifaranga ndo 50k mkuu[emoji1] [emoji1] , hawa Kuku sijui kwann huwaga wana bei namna hii
Mmmh nyama nyingi tu basi? Hapana itakuwa kuna sababu nyingine
Vp kuhusu idadi ya mayai kwenye utagaji. Pengine hii ikawa ndio sababu kubwa
Unakodisha jogoo la kupandishia tetea?
mmoja aliyekomaa anafikia uzito gani?
Ni batamzinga hao sio?[emoji1] [emoji1]
Hivi hawa kuku huwa wanaatamia na kutotoa wenyewe pasipo msaada wa mashine