Nauza Used Desktop Computers

Nauza Used Desktop Computers

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Hallow wana JF,
Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar.

Natanguliza Shukrani zangu.
 
Mkuu mi nahitaji MOJA ila nina kilo (100,000/=+)je sipati mkuu tuwasiline tuma pic nizione ktk WHATS-APP tuongee...0667740797
 
Nitumie pc zake whatsapp nione then tuongee 0765454403
 
Spesification zake ni zipi ??? computer sio kama viazi kwamba zote sawa mkuu
 
Pole sana mkuu, yani hizo Computer naziuza 250,000 ikipungua sana ni 245,000..
 
Ni aina ya FUJITSU from German, RAM 2GB, Hard disk 80, Processor Dual Core. Nilizinunua kwa ajili ya Training ya Computer ila nimefikiria kitu kingine ndo mana nimeamua kuuza..Bado hata sijazifungua.
 
Back
Top Bottom