JULIETH JOHN
Member
- Jan 19, 2011
- 7
- 0
Nauza gali zangu mbili zenye sifa zifuatazo:
- toyota vx ya mwaka 2000, manual, inatumia diezel, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano.
- landrover ya mwaka 2005, automatic, petrol, nimekuwa nikiendesha mwenyewe (mwanamke). Bei maelewano.
- gali zote ziko katika hali nzuri saana, zinatembea, nazimekuwa zikifanyiwa service vizuri.