hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Mkuu hekimatele nakusalimu.
Kama unasalimia mbona huamkii sasa?
Mkuu hekimatele nakusalimu.
Gari imepungua bei sasa nauza 6.5mil tu, if ur interest just pm me.
nauza toyota rav 4 milango mitano tsh milion saba tu. If ur interesting just pm me.picha zinafata
na mm nimrpanda 5.5 mkuuGari imepungua bei sasa nauza 6.5mil tu, if ur interest just pm me.
na mm nimrpanda 5.5 mkuu
Hii gari imeshapakwa rangi sanaHiyo gari ngumu sana, nazijua hizo yani hapo ni mkataba mkuu. Ni vile tu sipo huko home I would have bought it seriously ningepeleka bush home.
Usiiuze chini ya 6m aisee bonge la gari hilo hata kama ina kilometa laki 5
Hii gari imeshapakwa rangi sana
From inbox:
Muuzaji: hata nikiuza 1m unayo wewe ama unaleta kujitapa kwa bongo fleva?
Mimi: Mkuu sorry! Naona hukuniewa kabisa,naomba usome tena ndipo uje hapa. Wala sikumasnisha vby na hujanitendea haki kbs!
After all pitia matangazo ya magari nimeuza voxy T 625 CEK juzi tu m 12 na siishi hata huko Africa kwa sasa ndio mana sijanunua. I would have bought it na kupeleka kijijini mimi sijawahi wish kuendesha rav 4 hata siku 1.
Btw ninadhani ulisoma vby ukahisi nimekusanifu, please next time soma vzr kabla ya ku-attack mtu. Fuatilia comment yangu hapo chini kuna mtu kasema imepakwa rangi sana. Nimeitetea gari yako then unanijia inbox mkuu?
samahani mkuu sio mimi niliokuinbox na wala sina utaratibu huo kama ni mimi basi kuna mtu alihack account yangu samahani sana mkuu
Nafikiri unasubiri itoke gereji. Ndiyo utuwekee picha ila nimeshaiona. Tunasubiri picha other details na contact zako.
View attachment 126310