Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Yan kadeti original elfu 20 sijui...we itakua ndy unachipukia uvaaji wa kadeti
Nguo ni moja ya bidhaa zinauzwa bei chini sana, wengi tushazoea kupigwa mibei ya juu ndo mana mtu akitangaza kuuza kwa bei ya kawaida anaonekana anauza bidhaa zenye viwango vya chini.
Hizi cadet ni nzuri tena kasema ni za kuvutika.

Sent using mazonge yamezidi
 
G.Jacob,
Uko sahihi..na kwa kulijua hilo kuna wajanja wanaziuza kwenye maduka yenye viyoyozi kwa bei kubwa na kuna watu wananunua..wauzaji wanafidia bei ya fremu na umeme..si unajua kiyoyozi full..
 
Zara Cadet
Uzuri wa kadeti unaweza vaa hata na t-shirt zika match vizuri ilimradi uzingatie rangi
Classic_r20200122_2.jpeg
 
Form six
Bei yake 18,000
IMG-20200123-WA0003.jpeg

Unaweza vaa chini na kadeti, ukatokelezea safii
 
Jean's tsh 18,000
HAICHUJI HATA KIDOGO.
whatsApp no 0657438581 au unaweza kunitumia meseji.
0200207_7.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom