dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #521
Karibu Mr. Dan
Hahahaha!
ORIGINAL
Sawa Karibu Mringi mtoto nitakutafuta
Size 34 ipo? Na je mikoani unatuma?Staff jeans! View attachment 1333175
Naam! Ipo mr. Yeah mikoani natumaSize 34 ipo? Na je mikoani unatuma?
Yan kadeti original elfu 20 sijui...we itakua ndy unachipukia uvaaji wa kadeti
Jana nilikuwa kahama, nashukuru kuona wajomba zangu wamebadilika sana sio kama zamani.mhh kadeti hzi za kijanja mkuu!nampenda mwanaume anaevaa kadeti!hizi sio za minadani!manguo ya kisukuma yanajulikana unaweza kukaukiwa koo ukiziona