Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Office jeans wengine wanaziita
{staff jeans}

Unavaa ofisini, kanisani
ktk sherehe mbalimbali na sehemu kadha wa kadha hizi, zipo kama kadeti sio ngumu hata ufuaji wake ni rahisi
Office_20200211_3.jpeg

Na huu msimu wa wapenda nao zile dinner/out za kutoka na mwenzio mzee ukivaa hizi utatokelezeaa!
 

Attachments

  • r_20200207_3.jpeg
    r_20200207_3.jpeg
    106.7 KB · Views: 6
Tutajie location tuje kufuata mkuu mimi niko dar hapa hapa nataka nisevu gharama za kutumiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa hapo juu nilicho kuandika chief?

Sijaandika gharama za kutuma mosi pia nimeshatoa muongozo ninauza mtandaoni hizo gharama za kutumiana sijui umetoa wapi
 
Anhaa..Hapo nimekupata boss... nimeukutia katikati huu uzi wako ndio maana sikusoma mwanzo ya uzi boss... sikujua delivery mode zako ziko vipi... nitakucheki kwa hizo contact , sorry boss
Umeelewa hapo juu nilicho kuandika chief?

Sijaandika gharama za kutuma mosi pia nimeshatoa muongozo ninauza mtandaoni hizo gharama za kutumiana sijui umetoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadeti nzuri ya kuvutika..!
size ambazo ninazo kuanzia 30 hadi 38
_20200211_13.jpeg
street%2020200122_11.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom