dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
- Thread starter
- #581
Ni tsh 21,000Staff jeans bei gani?
Karibu comrade!
Ni tsh 21,000Staff jeans bei gani?
Yeah! Hii 0657438581Una whatsapp?
Hahahah! Nimesha mjibu brother!Njoo ujibu swali huku, umepotea sana mkuu, hatuonani "Dingi Mtoto"
Yeah! Hii 0657438581
Ipo whatsApp karibu
Nauzia mtandaoni wewe nicheki hapa 0657438581, tufanye kazi comrade
Yan kadeti original elfu 20 sijui...we itakua ndy unachipukia uvaaji wa kadeti
Nguo ni moja ya bidhaa zinauzwa bei chini sana, wengi tushazoea kupigwa mibei ya juu ndo mana mtu akitangaza kuuza kwa bei ya kawaida anaonekana anauza bidhaa zenye viwango vya chini.
Hizi cadet ni nzuri tena kasema ni za kuvutika.
Sent using mazonge yamezidi
Size 40 hunaKadeti nzuri ya kuvutika..!
size ambazo ninazo kuanzia 30 hadi 38
View attachment 1360312View attachment 1360313
Kwa sasa sina, Mr labda kuanzia jumamosi
Staff jeans shekeli ngapiComrade! Mwanza sina duka nauzia online (mtandaoni).
Naweza kukutumia ktk bus sh10,000
au nikampa ndugu yako au jamaa ambaye yupo huku mzigo