dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #481
Nauza online , comred.
Duka lako lipo sehemu gani?
Duka lako lipo sehemu gani?
sawaKama hii hapa!View attachment 1260958
Karibu!sawa
Nataka tano hapo saizi 36, punguza bei kidogo basi.Ofa! Msimu wa sikukuu nakuuzia kwa tsh 20,000 tu
Karibuni..!
View attachment 1294446View attachment 1294447
Mashati huna?Karibuni! Za kuvutika hizo unavaa ofisini na sehemu nyingine mbalimbaliView attachment 1270561View attachment 1270562
Mashati ninayo ila ya mikono mirefuMashati huna?
Nicheki hapa tuongee vizuri mr. 0657438581Nataka tano hapo saizi 36, punguza bei kidogo basi.

unatupia na koti
nimekuchekiStaff jeans, hizi ni nyepesi hata ufuaji wake kama unafua kadeti au suruali
View attachment 1310465
asante! Karibu comrade!
Mnapatikana wapiStaff jeans pia zipo bei ni tsh 21,000
Unavaa ofisini, kanisani na sehemu mbalimbaliView attachment 1310290
Nauza online comrade! Nakuletea popote ndani ya dar
Upo wapi? Mr