Nauza sony experia arc s (lt18i) ama tubadilishane

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Ninauza sony experia arc s kwa 250,000, bado ni mpya kabisa na haina tatizo lolote. Pia kama tunaweza badilishana na simu nyingine iliyo nzuri na iwe kwenye hali nzur. Shuka hapa na aina ya simu yako ama nitafute kwa 0763969066. Pia waweza nitafuta kwa namba hiyo whatsapp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom