Kishitokishito
Member
- Sep 16, 2017
- 65
- 27
Naona vyuma vinaendelea kukaza mjini
Unamaanisha nnNaona vyuma vinaendelea kukaza mjini
Mm sio kaka ni DadaNamaanisha life inaendelea kukaza mulemule kila kukicha..Sema tuko pamoja mkuu, ukivileta huku kwetu Ndanda siku haiishi vinapata mkwepuaji kaka.
Ndo nnUza na kitanda,Oryx mutungi,electric kettles hapo nikajua umepata scholarship ya Mogadishu,kurudi majaaliwa
Mkuu weka picha au nitumie picha whatsapp 0625579184Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini)
Brand=SHARP
capacity =158litres
15000 mkuuI meant feni
Feni bado ipo nije kuichukua kesho?Habari wakuu naona hakuna interest
pm unachek au tapelHabari wakuu naona hakuna interest
Kwann mnawaza utapeli muda wotepm unachek au tapel
Njoo ipo mkuuFeni bado ipo nije kuichukua kesho?
Coz nimekupm no zangu uko kimyaKwann mnawaza utapeli muda wote
Namba tafadhariNjoo ipo mkuu
Nishakujibu pmCoz nimekupm no zangu uko kimya
Nakutumia pmNamba tafadhari