Hiyo sofa ni moja au kuna kubwa na madogo mawili?Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana
View attachment 592299![]()
![]()
![]()
![]()
Nipo dar vingunguti, kwa maelezo zaidi pm
Liko hivo ulivolionaHiyo sofa ni moja au kuna kubwa na madogo mawili?