Nauza sofa , Startimes , feni

Nmeku PM namba yangu ila sijaona mrejesho kama umeshauza basi sema kua biashara imefungwa!!!
 
Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana

813f6ba14a15b77a8993786e520a043e.jpg
View attachment 592299
38e23ae98b3b103ca120089bf1e89960.jpg
283d0804ce1a933d2ee8ce582e0243f6.jpg
bee07cc8f349a5d167fbdf2e08568ea7.jpg


Nipo dar vingunguti, kwa maelezo zaidi pm
Sofa shuka shuka basi nikupe hela
 
Back
Top Bottom