Nauza sofa , Startimes , feni

Nauza sofa , Startimes , feni

Mbona pm huji au we tapelii
Sasa mnafikiri nalala mtandaoni?? Hiyo pm umetuma SAA ngapi mpaka uanze kulalamika , yaani mtu utume pm SAA 8 usiku utegemee kujibiwa muda huo?? Em behave kama MTU mzma bhana
 
MI CIELEWI MBNA PM HUJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Umetuma no so subiri nitakupigia ulitaka nije pm kufanya nn na ushatuma no
 
Wakuu kwenye sofa VP maana hela nayohitaji sofa ndo litasaidia hivo vingine nyongeza ndo maana nataka niuze kwanza sofa
 
Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana

813f6ba14a15b77a8993786e520a043e.jpg
View attachment 592299
38e23ae98b3b103ca120089bf1e89960.jpg
283d0804ce1a933d2ee8ce582e0243f6.jpg
bee07cc8f349a5d167fbdf2e08568ea7.jpg


Nipo dar vingunguti, kwa maelezo zaidi pm
CHUKUWA VYOTE 150,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom