Nauza scania mende bei poa.

Nauza scania mende bei poa.

Wakuu hodi humu ndani!
Nina Scania mende ambayo ipo sokoni inauzwa

Details:

Year: 2008
Brand: Scania
Price: 71 million
Capacity: 41Tones

Contact: 0625568600

c825b60e4fa116a51e9eec5f0325d44c.jpg

dde5b61fd24364694062f827666a7a41.jpg
4e954e94a789172c4a6c74088bd46d5a.jpg
0d7f2289ca89b2e769bb5bedaf189793.jpg
7e15eb2aa6c007dc62a74b549cba7c6c.jpg
b26fa6106a9271e891964741ac96fa65.jpg
1a4f88dd6be92139ce03ec627f6fe1da.jpg
Gari million 30 hiyo,million 70 labda ukamuuzie bilionea lowasa
 
Iko poa..ngoja kuna mdau nimshirikishe huwezi jua.
 
Usimkatishe tamaa,inategemea na ubora na mwaka wa gari. Anaweza akampata tajiri wa mawe hio 70 sawa na laki.
Nina uzoefu! Kabla ya magu sawa ila sasa watu wanaanzia 30 imagine! Na lazima zipelekwe Nje ya Dar unajua hata Singh alikwama kuuza yake? Bwana msaki aliyauza naye kwa bei ya kutupwa niachie hapo
 
Wote mliofungua huu uzi ni watu ambao hata hiyo bei ikigawanywa kwa nne hamtakuwa na uwezo wa kuinunua sijui kwa nini mnajipa kazi isiyo ya lazima.
 
Wote mliofungua huu uzi ni watu ambao hata hiyo bei ikigawanywa kwa nne hamtakuwa na uwezo wa kuinunua sijui kwa nini mnajipa kazi isiyo ya lazima.
Hata ikiuzwa mln 5 wataishia kuponda tu......Kumbe umewashtukia hehehe

Ova
 
Back
Top Bottom