nauza samaki wa kufuga

nauza samaki wa kufuga

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,881
Reaction score
3,187
nauza samaki wa kufuga aina
tofauti na ntakeletea mpaka
ulipo kwa bei nafuu

gapi pea
5000

red pea
10000

gold pea
10000

gold wakubwa 30000

gulam 20000 Picha zinapatikana whats app
0712505049 nipo dar

nb.hawa ni samaki wa mapambo wa maji baridi yaani maji amabayo sio ya baharini
ni maji unayotumia nyumbani natoa elimu juu ya kuwahifadhi wanaweza kukaa hadi miaka mitano na wanazaliana katika kipindi chote hiko hivyo unanunua mara moja tu baadae wanazaa
 
Nataka wa kufuga ktk bwawa ili nipate kitoweo kwa baadaye
 
Ukweli, bado tuna safari ndefu sana. Hapa ndio unataka kutaarifu Umma nini Mkuu?

acha siasa kipi kinakuchangya hapa kama product ni samaki aina wa kufuga, bei zipo na mawasliano pia yapo unataka nn sasa
 
acha siasa kipi kinakuchangya hapa kama product ni samaki aina wa kufuga, bei zipo na mawasliano pia yapo unataka nn sasa

Sio siasa mkuu tangazo lako haliko sawa, samaki wa kufuga kuna aina mbili kuna wa mapambo na wale wa bwawani sasa wewe hapo ni aina gani unayouza. kuna mtu ameuliza ni kambale au
 
Sio siasa mkuu tangazo lako haliko sawa, samaki wa kufuga kuna aina mbili kuna wa mapambo na wale wa bwawani sasa wewe hapo ni aina gani unayouza. kuna mtu ameuliza ni kambale au

mimi ndie nilieuliza hii ni kwa wadau tu ukisikia red ,gold,gulam ,gap ushawai kusikia au kula aina hiyo jee ningekuwekea sato kambale kibua na sangara akili yako ingefikiria nini nikisema wa mapambo watu wanahisi hawako hai hii jina ya wakufuga inaeleweka zaidi na wadau tu ndio watakaotaka kama sio mdau kwanza utastuka hizo aina tu naamini hujawai kuzisikia
 
tunataka samaki wa kula kaka, sio hao wako wa kuangalia halafu unaumia njaa
 
nauza samaki wa kufuga aina
tofauti na ntakeletea mpaka
ulipo kwa bei nafuu

gapi pea
5000

red pea
10000

gold pea
10000

gold wakubwa 30000

gulam 20000 Picha zinapatikana whats app
0712505049 nipo dar

nb.hawa ni samaki wa mapambo wa maji baridi yaani maji amabayo sio ya baharini
ni maji unayotumia nyumbani natoa elimu juu ya kuwahifadhi wanaweza kukaa hadi miaka mitano na wanazaliana katika kipindi chote hiko hivyo unanunua mara moja tu baadae wanazaa
mkuu mimi nahitaji nyuki wa mapambo kama unao niuzie tafadhali
 
acha siasa kipi kinakuchangya hapa kama product ni samaki aina wa kufuga, bei zipo na mawasliano pia yapo unataka nn sasa
Wadau tumekuelewa mkuu usiwaze!
Kila kitu Kwa mdau ameelewa mkuu.
Aina ya samaki na bei yake umetaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom