georgelulabuka2014
New Member
- Nov 11, 2014
- 1
- 5
Habari wana JF. Ninaitwa George Lulabuka. Ninafuga na kuuza Samaki aina ya Sato/Tilapia maeneo ya VISIGA
Kila Samaki ana uzito wa 250g -300g (wanaingia wanne au watatu ktk kilo)
Bei ya 1kg ni Tsh 8,000 tu!
Ninachukua order kuanzia 100kg-200kg kwa wiki (kwa kila mteja) ila hata wa 50kg tunaweza zungumza tukafanya biashara
Samaki wanavuliwa kutoka ktk mabwawa na kutiwa ktk matenga halafu wanapakiwa ktk gari tayari kwa kuletewa popote ulipo (Gari yenye Freezer)
Samaki hawa wamefugwa kitaalamu (kwa kutumia Aerators na chakula chenye ubora wa hali ya juu - Floating Pellets) na kwa kuzingatia kanuni bora za ufugaji Sato/Tilapia.
Tuwasiliane kwa Simu/SMS/Whatsapp 0718 609944
Siku za karibuni pia nitaanza kuuza chakula Bora cha Samaki (Floating Pellets)