Natafuta soko la samaki aina ya kambale

Natafuta soko la samaki aina ya kambale

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,226
Reaction score
5,150
Msaada kwa mwenye kufahamu soko la samaki aina ya kambale anifahamishe
Ninao wengi saaana ktk bwawa langu

a1e94464cfd273b16419959725a4825f.jpg
 
Nenda kaadvertise kwenye mikutano na makanisa ya sabato.
 
Mkuu wewe si ndo muuzaji
Unaniambia nauza kiasi fulani kwa pesa kadhaa

Mie nakuitikia ama nakukatalia.
Nipe bei yako per kg na location.ili nijumlishe na usafiri nione kama itanifaa.

Mkuu nauza sh 3500 kuanzia kg1 na nusu
Yaani wanaanza na uzito wa kilo moja na nusu.Chini ya huo uzito siuzi wanaendelea kukuwa Mkuu
 
Matangazo mengine Majanga uko wapi,Bei gani?

We mbururaaa angelia juu bei ipo
Majanga wewe kama una Nia una Pm tu
Halaf ndio utaona majanga yako wapi
Sio unabwabwaja tu ili na wewe uonekane umebwabwaja
I hope umenielewa
 
We mbururaaa angelia juu bei ipo
Majanga wewe kama una Nia una Pm tu
Halaf ndio utaona majanga yako wapi
Sio unabwabwaja tu ili na wewe uonekane umebwabwaja
I hope umenielewa
Weye makalio ya senene, ukiulizwa swali jibu kama mwanabiashara.Unajibu kihuni hadi unapigwa ban!
 
Back
Top Bottom