pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Wapendwa wana Jf ninafuga samaki aina ya kambale ninao kama bwawa Moja nilitaka kuuza wote kwa pamoja mabwawa yangu yapo nje kidogo ya jiji la DSM I mean bagamoyo waweza kuja site yangu ukacheki mzigo ukikupendeza tunapatana papo hapo kwa mawasiliano just call 0763772636 asante