Nauza Samaki aina ya Jodari

Sijawahi kupata kesi kuhusu ubao.. ila asante kwa ushahuri, nitatafuta kile cha plastic
Hicho ndo hatari hizo plastic achana nae sio mnunuzi hakuna vimbao miti vinaingia sie walaji wa samaki kwa wapemba ndo vibao vyao unmkosha vizuri hana vimbao
 
Hao ni Sehewa mkuu miongoni mwa samaki wabaya wa Baharini Jodari ni samaki Nzuri in English Tuna.
 
Kibao Cha mbao ndio salama
Ndio maana hata osama bin laden wakati anatafutwa na marekani alikuwa anatumia vibakuli vya mbao
 
Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
Nadhani zitakuwa hazina madhara hayoo,na ni sawa na vigogo vya butcher.
 
Duh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Mdomo ulimponza kichwa

Kuharibiana biashara tu jameni

Koromeo muhimu
 
Sewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa
Hebu achaneni na stori za yupi mtamu zaidi; mention the health benefits of each! Tuzingatie faida za kiafya zaidi kuliko utamu wa mdomoni.
 
Jodari na sehewa ni tafauti ingawa wanafanana umbo. Aliyepewa hadhi kubwa ni jodari.
Kanadi hafanani na jodari wala sehewa. Anafanana na nguru.
Dar watu wanauziwa sehewa na kuambiwa ni jodari na wanauziwa kanadi na kuambiwa ni nguru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…