Nauza Samaki aina ya Jodari

Nauza Samaki aina ya Jodari

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Wakuu habari

Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.

Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.

Bei ni 12000 tu, kwa mmoja

0616274277.

Napatikana Kigamboni

20250602_135357.jpg
20250602_140141.jpg
20250602_140144.jpg
20250602_135308.jpg
 
Wakuu habari

Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.

Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.

Bei ni 12000 tu, kwa mmoja

0616274277.

Napatikana Kigamboni
Duh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
 
Wakuu habari

Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.

Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.

Bei ni 12000 tu, kwa mmoja

0616274277.

Napatikana Kigamboni

Mmoja ana Kg ngapi?
 
Vipi, ungebadilisha jina kidogo ukaziita johari si ungepiga hela sana?... Kila la heri mkuu
 
Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
Ningependa kufahamu zaidi chips za ubao zina madhara gani zikiingia tumboni.
 
Back
Top Bottom