INAUZWA Nauza playstation3 wahi sasa!

makala7

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
497
407
Kama mlivyopitia kichwa cha habari,hapo juu.Nauza PlayStation3 ambayo bado ni mpya kabsa nimeitumia mwezi mmoja tu.Ina
500GB HD na PADI 1
Haijafanyiwa cheaping kwaiyo ina uwezo wa kutumia CD tu.
Bei 480000.
9ffff5893fdda5cfb891c5e0cd098108.jpg
 
Back
Top Bottom