SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,863
mkuu nahitaji robo lita unaweza kuniletea huko Temeke Mabwepande![]()
![]()
![]()
![]()
Mchanganyiko wa matunda, tangawizi, vitunguu swaumu, vinegar....inapatikana ktk ujazo tofauti. Watu wa bar, restaurant, BabaQ n.k naweza kukuwekea ktk ujazo kulingana na maitaji yako kibiashara...nafanya delivery bure kwa Dar es salaam siku ya ijumaa na jumatatu...0653408957 na 0629565168![]()
Sawa mkuu..njoo whtsapp kati ya no hizo nikuonesha ujazo na bei zakemkuu nahitaji chupa moja ya robo lita unaweza kuniletea huko Temeke Mabwepande
nakuja whatsap kwa mwendokasi mzee babaSawa mkuu..njoo whtsapp kati ya no hizo nikuonesha ujazo na bei zake
Karibu mkuuNaona mkuu
.nawaletea msisimko wa ukwaju... ukwaju souse soon
Bado mkuu azijafika madukani..naweza kukupatia ya kwako chukua mawasiliano hapo juuDah.... Safi sana... Madukani zipo? Wengine tunapenda kulakula sana![]()
![]()
Shukran kwa ushauri mkuu...nimejaribu kusambaza baadhi ya mini supermarket maeneo ya kwangu hapa kigamboni...pia sio usumbufu ktk delivery hio hio chupa moja nitakufikia ulipo kwa mfano j3 niatakuwa maeneo ya msasani,kawe, mwanayamal, kinondon, mikocheni , kunduch..hizo ni oda nilipewa kabla ila ijumaa sikuweza kuwafikia nilikuwa zone za ilala, buguni,ktk ya jijiUnaonaje ukaisambaza kwenye supermarkets au hizi mini supermarkets inaweza kuwafikia walengwa kwa urahisi zaidi maana km mm nikiagiza kachupa kamoja nianze kukupigia simu inakuwa km hasara kwako kufanya delivery.
Naijua ile nyeupe mkuu...huu ni msisimko wa kitanzania kwel kwel..chukua chupa yako moja mkuu utanipa feedbacksafi sana mkuu! kuna pilipili moja inatoka rwanda iko hadi huku kwenye mini market zetu, kuna mtu alikua anaisifia sana. sasa na wewe waamshie dude
M
Naijua ile nyeupe mkuu...huu ni msisimko wa kitanzania kwel kwel..chukua chupa yako moja mkuu utanipa feedback
Dah..bei nayo ni siri?Bado mkuu azijafika madukani..naweza kukupatia ya kwako chukua mawasiliano hapo juu

Safi mkuu...yep! ndo maana na mie nikasema na wewe kawaamshie dude mkuu , na sie tuwapige 'home and away'
M
Dah..bei nayo ni siri?![]()
