Wakati mwingine fikiria kabla ya Ku - reply
Sasa mbona umeweka picha ya jenereta?Habari zenu wadau! Kama kichwa kinavyosema, ni kwamba kuna pikipiki inauzwa kwa Tsh 2,300,000 tu. Ina muda wa wiki mbili toka inunuliwe. Napatikana Arusha kama utahitaji ni pm
Shtuka tangazo lako haliko sawa, hawa wanakushtua urekebishe.Wakati mwingine fikiria kabla ya Ku - reply
Kwanini?
Asante sana mkuu. Ni boxer zinazotolewa na biko
Ni full boxed nauza na funguo yake, njoo ukague, haitumii mafuta inatumia damu kama zile za kwenye Wrong turnView attachment 1155458
mkuu huyu ni mjapan New model ina week mbili tangu iingie sokoniHii mkuu ni made from Kolomije au??
Shida ilikuwa nini?alikuwa anaendesha hovyo au hiyo boda ndio ilikuwa inasababisha ajali?mbona unaiuza haraka hivyo, hujaifaidi? Unanikumbusha tukio moja, kuna rafiki yangu alinunua honda cbr, bahati mbaya ndani ya wiki 2 alishapata ajali 2. baba yake akampa option mbili:
1. Ndani ya wiki moja awe ameisha-iuza
2. Ataichoma moto kama hataiuza ndani wiki moja.
Aseeemkuu huyu ni mjapan New model ina week mbili tangu iingie sokoni