NAUZA PIKIPIKI 2,300,000 NIPO ARUSHA

NAUZA PIKIPIKI 2,300,000 NIPO ARUSHA

mkuu huyu ni mjapan New model ina week mbili tangu iingie sokoni
Mbona tire kama used mkuu au ilikuwa desperate baada ya kukosa mteja anyway naweza kuifunga gas iwe kama rocket au niibadilishie matumizi ikokotwe na punda au ng'ombe.
 
wazee piki piki yetu bd haijapata mteja,
tumeshusha mpaka 1.3M,

Hapa ipo showroom yetu.
images(61).jpeg

pia tunatoa huduma ya kupiga sindano za tetenas bure.
 
Ni full boxed, njoo ukague, haitumii mafuta inatumia damu kama zile za kwenye Wrong turn, ni automatic.
NOTE: mm ni dalali muuzaji(mwenye uzi) kaniomba nimsaidie kuiuza
View attachment 1155458
Naikubali sana hii kitu,

Ninayo kama hii lakini niliipeleka pale DIT wakaibadilisha kidogo kwa sasa inatumia solar,nimefunga mziki mzito na kuiwekea mkokoteni.


Wateja wangu wa madafu kwa sasa wana enjoy.
 
Back
Top Bottom