donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
HahahaHV hao ndio wale ng'ombe Wa migogoro ya wakulima na wfugaji kule moro?
HahahaHV hao ndio wale ng'ombe Wa migogoro ya wakulima na wfugaji kule moro?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Pembe la NGo'mbe eeeeee pembe la N'gombe halifichiki ,,pembe la N'gombe eeeeeeeeww
Mbona wagogo kibao2 mkuuNapenda sana kufuga ng'ombe, ila kuwatunza ndio kimbembe, kupata mfanyakazi wa uhakika ndio changamoto inayonifanya nisithubutu..
Hahahaha, hao kwa mmoja bei haitofautiani sana na IST mkuuHao wenye matank makubwa ya kuhifadhia maziwa unauzaje mkuu?
wanatoa litre ngapi kwa tank mojaHahahaha, hao kwa mmoja bei haitofautiani sana na IST mkuu
kuwakamuaje? fafanuaNiajiri niwe nawatunza tu mshahara wangu ni kuwakamua tu na kuhakikisha wako vizuri