KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
hata urudie hadi mwakani huwezi kuelewa"Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini Na ukitaka kuuza niuzie nachukua "
Aliye elewa hapa anisaidie
Mtaa wenye hawa viumbe hakatizi mtu ......
Kula yao ni balaa
Hawa ni aina ya mbwa wenye nguvu sana na wako very agressive ukiwalea vibaya
Ni breed yenye nguvu kuliko zote na hamna mbwa anaeweza kuzungumza mbele ya pitbull
Wamebreediwa kuuwa mbwa wengine japo ukiwaraise vizuri wanakuwa wazuri tu
Ni mbwa wenye kichwa kikubwa sana( mara mbili zaidi ya kichwa cha binadam mkubwa), waliowaona in real life watakubaliana nami
Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini
Na ukitaka kuuza niuzie nachukua
Nilikuwa nao ila walikufa baada ya kuingiliwa na nyuki kwenye zizi lao. Kwa sasa nina Boerboel 6, hawa ni zaidi ya pitbull na wananifanya nisijutie kupoteza wale mbwa wangu wa mwanzoni (pitbull).
Akirusha nitagRusha picha mkuu
Kuna ambae anakaribia kupandwa"Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini Na ukitaka kuuza niuzie nachukua "
Aliye elewa hapa anisaidie
Bei gan unauza
Tsh ngapi mmoja?
Laki8 akizaaBei gan unauza
Hakuna wa hvyo
Mtaa wenye hawa viumbe hakatizi mtu ......
Kula yao ni balaa
Hawa ni kwa akili na intelligence ila kwa ubabe asogei kwa pitbulKuna dog wabaya kama GERMAN SHEPHERD???
View attachment 631481 View attachment 631481 View attachment 631482 View attachment 631482
Boerboel nawajuaNilikuwa nao ila walikufa baada ya kuingiliwa na nyuki kwenye zizi lao. Kwa sasa nina Boerboel 6, hawa ni zaidi ya pitbull na wananifanya nisijutie kupoteza wale mbwa wangu wa mwanzoni (pitbull).
Hawa ni kwa akili na intelligence ila kwa ubabe asogei kwa pitbul