Nauza miche ya palms (Royal palms) for low price

geranteeh

JF-Expert Member
May 21, 2015
266
618
Nauza miche ya palms kwa bei nafuu
Kila mche nauza 6000 kama unachukua miche mingi bei inapungua
Kumbuka bei ya palms ni 10000 kwa hapa dar es salaam Napatikana kigambon unaweza nichek inbox tukafanya biashara vilevile nina miche ya mwembe mipera migomba
Karibu
IMG_20200405_170758.jpeg
IMG_20200405_170807.jpeg
IMG_20200405_170742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom