Nauza Miche ya migomba,mzuzu,mtwike...

Nauza Miche ya migomba,mzuzu,mtwike...

Kimalindi IPO ,uwahi maana week ijayo tunaifekelea mbali kwa maana tunaotesha upya .kama wewe ni Mkulima wa ndizi itakuwa unaelewa maana ya kuotesha upya
IMG-20181102-WA0003.jpeg
 
Miche mizuri ya migomba ni size kama hiyo .hata kwenye vitz unabeba tu .Miche IPO ziaidi ya 300.
Location kiluvya gogoni dsm
IMG_20181103_071835.jpeg
IMG_20181103_073239.jpeg
 
Kama utachangia gharama ya usafiri nakuletea Miche hadi ulipo .na nitakupa Ushauri bure jinsi ya kuotesha migomba na Mapapai !!!
 
Kwa taarifa yako ,Miche IPO aridhini haijavunwa .tu kisha kibaliana ndio tunaivuna kwa hiyo unapata kitu fresh .au kama unafika shambani unachagua Miche unayotaka
IMG-20181102-WA0003.jpeg
 
Miche imemfikia mdau Mkulima hodari wa migomba
IMG-20181104-WA0027.jpeg
 
Hiyo picha ni dar au moshi?
Picha ya moshi machame ...ila kwa dar inakubali the same japo ladha ya moshi hutoipata maana moshi kuna ndizi ikipikwa unasikia harufu mita 100
 
Miche ya migomba Kama unataka kuletewa au kusogezewa let say ubungo ,kimara au mbezi unaagiza kuanzia Miche 10 na nauli ya kukuletea sh 5000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu migomba ipo tele njooni na msimu ndio wa kuotesha
 
Usiache hizi mvia zipite bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom