kwa wale wakazi wa ARUSHA mnaoplan kujenga gorofa mwisho wa mwezi huu nina mnada nauza mbao za 6 by 1 za kupiga botton na kuzunguka lenta bei ni maelewano jiandae kwani nauza kwa bei poa nimeona sintazitumia tena. nipigieni simu kwa namba hii 0789 543 339 ni kwa wale wanaojenga magorofa tu kwani hazifai kwa kutengeneza milango wala madirisha na ukikodisha za mtu ni hasara kwani mafundi ni lazima wazikatekate sana tu nazani kwa waliojenga magorofa wananielewa kama unataka kuepuka hasara wahi mapema thanks