Nauza maharage kilo Tshs. 2300

dady Vanny

Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
28
Reaction score
9
Next week naleta kilo 160-200 ambazo ni sawa na debe 18-20 za maharage rose koko kwa sh 2300 kwa kilo kama unahita naomba nipgigie hapa 0655822872 /0625539442
 
Habari wana JF nauza maharage kilo 160 equal to debe 18 maharage ya rose koko kilo 2100
 
Nauza hayo maharage mekundu ama rosecoco yanatokea Rujewa ni kilo 160-200 na nauza kwa 2300 kwa kilo na mimi nipo Dar kwamaana kwamba yapo huku dar so unaweza kuwasliana na mimi 0655822872 nipo Gongo lamboto majohe karibu..
 
Kwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
 
Kwanini unamkatisha tamaa mwenzio? Watanzania jamani sijui tupoje.
 
Kwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
Sio kwamba sina uhakika nataka niongeze mengine ndo maana inakua hvo
 
Kwanza huna uhakika na kilo za maharage yako, pili maharage yako ni kidogo sana kuja kututangazia humu, nilidhani unayo hata tani kadhaa kumbe gunia moja, tafuta wenye vibanda hapo mtaani uwauzie.
We jamaa mbona unakua mshenz hivo
 
We jamaa mbona unakua mshenz hivo
Mbona jamaa kakupa ushauri mzuri tu mkuu?maana huo mzigo ni mdogo kiukweli so kama ni bora ukawacheki akina mangi wa mtaani kwako kwanza ata kwa mali kauli!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…