Nauza magari haya

usengwile

Senior Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
133
Reaction score
47
Wanajamvi wenzangu, nduguyenu napata mkate kwa hii biashara ya kuagiza magari Japan/Uk na kuuza Tanzania. nina experience ya miaka mingi kwasasa nmeamua niwe nachangia jukwaa la biashara kwa bidhaa hizi nnazoziuza. karibun. serious business ni PM. please kejeri/ dharau/ si mahala pake.
 

Attachments

  • 20131105_062150.jpg
    377.3 KB · Views: 729
Je Vitz na Suzuki Swift pia unazo? Na je unauza kwa ngapi?
 
Noah old model 12million.
Noah new model 15million.
 
Nyie jamaa niwakali sana kuna mmoja alikuja na biashara hii akasema yupo ilala dah alikuwa mkali hivi hivi,kuna jambo gani mnaficha?
 
Noah ml 12 acha utani mimi nauza kwa ml 10
 
Nyie jamaa niwakali sana kuna mmoja alikuja na biashara hii akasema yupo ilala dah alikuwa mkali hivi hivi,kuna jambo gani mnaficha?

mkuu, me nipo ndani ya hii biasharaz tangu 2008, so siko hapa kwa ubabaishaji, kila kitu ni genuine na transparency, kama kuna kitu uelewi uliza ntakujibu. na sijakuelewa naficha jambo gani na ili iweje?
 
Noah ml 12 acha utani mimi nauza kwa ml 10

mkuu ni vyema kujua model na specifications zinazopatikana kwenye gari ndio ujibu,

hii ni 2001 model, gear fupi
SR 40,

ninayo nyingine ya 10million kesho ntatupia picha zake
 
hebu nipe Vitz na IST.......
 
mkuu ni vyema kujua model na specifications zinazopatikana kwenye gari ndio ujibu,
hii ni 2001 model, gear fupi
SR 40,
ninayo nyingine ya 10million kesho ntatupia picha zake

licha ya model ya mwaka 2001 bado upo juu
wanaodhamini kwa matangazo hapo juu (Desktop) 'tradecarview' ya mwaka huohuo ni $1,500 na usafiri ni $1,450 jumla haivuki $3,000 weka uchakavu wa TRA wa zaidi ya miaka 10 gari za Noah hazivuki 10m

US$1,500
kwanini hamtupi ukweli? Toyota Noah TA-AZR60G(2001) / L / US$1,500 / 138,000 km / K.S TRADING - Japanese Used Car [ tradecarview ]
au hata Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info unapata maelezo yote na gari unaletewa wewe ni kujaza Doc. za TRA na Plate No.
 
we uza ila naye anauza ivo?kwani mnadani apo?labda wako umekongoroka ila kwa kodi za sasa ili upate chajuu noah ndo bei zake izo....


mkuu shukran umenijibu vizuri.
 
hebu nipe Vitz na IST.......

IST iko black ya 2002 model, bado sijalipia ushuru nadhan next week itatoka, kama utapenda kuona pich zake ninazo naweza kukutumia,
 

Acha kuleta ujuaji kwenye mambo usiyoyajua, Toyota Noah ikiwa inauzwa $1500 na vipi vits na GX 100 zitauzwa kwa bei gani? fanya yako mkuu wacha wanaume wa mujini tusake pesa, tafuta wa kulumbana nae na mipasho, plz get outof this , unadhani magari chu. pi kila mtu awe nalo,
 
Matusini ya nini sasa ? kwani wote ni washamba km wewe
nimekupa link kweli? Toyota Noah TA-AZR60G(2001) / L / US$1,500 / 138,000 km / K.S TRADING - Japanese Used Car [ tradecarview ]
Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
na wenzako wote tunaenda huko hata hao Zoom utapata kwa Dola $ 1,000 na nimeeleza usafiri ni km $ 1,450
Utawazia washamba wasiojua kufungua mitandao na hata hapa JF on top kabisa wapo tradecarview
USILAZIMISHE BIASHARA KWA MATUSI Doga elimisha wenzako na wafaidike sio kuwaibia
kizuri chajiuza na kwa taarifa yako situmii Vits na nina Noah Daladala kwenda Mvumi
ni Noah ya 2001
Nimesema link ziko wazi na ni nyingi tu, tena ka kuwasaidia na wengine Zoom wanaweka na simu
Hapo chini kuna mtu wa Arusha

1999 Toyota Noah SR 50 For Sale in Arusha Tanzania | Classified
1999 Toyota Noah SR 50
Price: TSH 9,800,000
Kilometers: 167000
Four Wheel Drive
Transmission: Automatic
Date Listed: Oct 8, 2013

Email Address: Click to Email
Phone: +255 784 588 089
Area: Arusha

Huyu sasa ni wa Dar na simu yake ipo hewani
2003 Toyota Noah

Price: TSH 9,900,000
Kilometers: 45660
Transmission: Automatic
Date Listed: Sep 9, 2013

Email Address: Click to Email
Phone: +255 715 364 676
Area: Dar Es Salaam

usengwile usinitafutie BAN bure maana jina lako tu ukiotoa WIL linalobaki mm ni mwiko kujibizana nao
Noah ni 10,000,000/= Registered TRA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…