Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

Body Type: SUV & 4WD

Price: TZS 21,000,000

Year: 1999

Make: Toyota

Model: Land Cruiser Prado

Kilometer: 200,000

Transmission: Automatic

4 Wheel Drive: Yes

The vehicle is: In Tanzania

Import Duty is Paid: Yes

Location: Dar Es Salaam
Ilala, Upanga Mashariki

Mawasiliano:0784225000



IMG_3022.JPG
 
Mashine ya diesel nzuri sana ila bei yako imechangamka kidogo mzee.
 
Najua hiyo gari inauzwa kwa kuwa Ni 4wd Kama utapata mteja wa milioni 6 mpe Tu akalie nalo
 
jamaa yangu NOAH huku Bara sana sana milioni 8 kushuka
hazina thamani tena
Voxy ndio kabisa?
nakushauri katangaze www.zoomtanzania.com itatoka mapema
 
Mkuu hizi gari ni nzuri sana na zina nguvu kubwa katika engine lakini hiyo imechoka mkuu angalia hata matairi tu mkuu unge uza 10
 
Kwa jamiiforrum members hupati hata mmoja 🤣🤣🤣 peleka showroom wakuuzie, sema na wao wanaweka cha juu sana gari linaweza kaa mda halinunuliwi.
 
Back
Top Bottom