Sawa kiongozi, nakushauri fanya utafiti wa bei, kwa bei hiyo kwa Lita ni ghali sana ukilinganisha na mahala kama Dodoma ambako nina uhakika wanauza TZS 5,000 kwa reja reja wakati kwa jumla wanauza hadi 4,750 kwa lita 20 na kuendelea. Nazungumza kitu ambacho nina uhakika nacho, nimenunua hivyo tarehe 02/08/2025!!
Angalizo sina lengo la kukuharibia biashara Mkuu wangu!!