Bwana mi nasoma mwaka wa 5 sasa kwenye Ferrari high school ya modena(italy) na kiwanda cha lamborghini hakiko mbali sana na mwaka jana nimefanya field pale na tunasoma kuhusu haya super car, hio sio gallardo sababu gallardo ya mwaka 2009 haina exhaust moja kati kati maximum hio inaweza kua lamborghini murcelago lakini sio gallardo. Halafu lamborghini hana model inayoitwa "gullardo", anatengeneza model kama gallardo, murcelago, diablo, miura, reventon, aventador, urraco. Hio inaweza kua ya kichina. Nenda kaangalie kwenye google na angalia picha za model ya lamborghini gallardo.
Cc 6000, nimetumia 1 year and niya 2009 and bei ni 1.9 billion for more details email me on emilrama@gmail.com
asante,We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua
blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...
Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...
We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..

hahahaha hata mimi nilijua kuwa mbwembwe maana alikuwa kama anatafta sifa mara naendesha hammer mara nini, hahaha hhalafu mtu mwenye pesa hawezi kuja humu eti anauza bberries used mara anatafta chen ya silver hahaha wewe umiliki gari kama hizo then ufanye biashara za kuunga unga.
Labda kahongwa mkuu.
Labda kahongwa mkuu.
asante,
kuna siku katangaza anataka silver ya ukweli nikamletea kwa nusu bei kashindwa kununua.leo hii anatangaza anauza lamborghini ya 1.9 bilion?
duh watoto wamekuwa wengi sana jf siku hizi
Mmmh unatak kumDAVID Cameron mwenzio!hahaha hata kuhongwa kuna hadhi yake sidhan kama hata kuhongwa atahongwa hilo gari labda vitz
very funny inneedThis is funny