Nauza kiwanja changu hakina udalali

Nauza kiwanja changu hakina udalali

Hizo siyo hatua bali ni futi.

Hatua moja ni sawa na mita 1.

Mita moja ni sawa na futi 3.

Kwa hiyo futi 48 gawanya kwa 3 ni sawa na mita 16, na futi 54 gawa kwa 3 ni sawa na mita 18.

Kwa hiyo kiwanja kina ukubwa wa mita 16 kwa 18.

Kiwanja chake ni mita 14 kwa mita 16
21AA1BF3-2BDD-4C92-B528-206E7B857E6C.jpeg
 
Ukiona mtu anaweka vipimo vya futi ujue kuna dalili za kitapeli ,hicho kiwanja ni kidogo sana halafu kipo uswekeni
 
Unazidi kutokomea kusikojulikana 😹😹
Huko hapana kwakweli
Kwa watu wanaojitafuta panafaa ingawa makabila ya kule ni mtangirirere, ukila nchale ukikaa vibaya nchale, ukizubaa nchuchumui. Bora kama unajivuta kidogo kununua Mwasonga tu
 
Hahaha Kwa nini mkuu mbona unakikandia
Kutoka pale Vikindu kwemda huko nauli ni 700. Ni sawa na Mbagala kwenda Posta stesheni. Mm nilifikaga huko mwaka juzi kupatemblea nikazike kias flan cha pesa ila nikajitathmin nikaachana napo. Nyumba za chumba kimoja na sebule au chumba kimoja tu zipo kibao. Ila ni mji unaokua wa kas ya kimbunga
 
Tatzo unafananisha nauli ya daladala na bajaj

Sio kweli mbagala to posta muogope Mungu jmn kah! Izo ni fitna za wazi wazi hakyamungu..... bodaboda ni 1500 stend ad kwa puga bajaji ndo iyo 700 hapana we kaka umeweza 🙌🏽🙄
 
Back
Top Bottom