Nauza kirutubisho bora cha kilimo

Nauza kirutubisho bora cha kilimo

robert_k

Member
Joined
Sep 27, 2019
Posts
42
Reaction score
19
Nikiwa kama mfanyabiashara wa kilimo, nauza kirutubisho bora cha kilimo kinaitwa SUPERGRO. Supergro ni purely organic na kazi kuu ya supergro ni kurutubisha mimea na udongo. Huwa inafanya kazi ya kutunza maji katika udongo na kufanya maua ya mmea kuwa magumu(maua ambayo baadae yanakuwa matunda). Huitaji kulima kwa hasara, supergro ipo katika ujazo wa 1litre hadi 5litre. Inakubali kwa mazao yoyote. Wasiliana nami 0766317197/0693307877
IMG-20190922-WA0000.jpeg
 
Yes karibu sana. Rahisi kutumia ni unachanganya 1cc kwa 1litre hivyo hivyo kulingana na ukubwa wa shamba lako. Bustani ya mboga mboga pia inakubali. Matokeo yake ni mazuri sana kwa wingi wa mazao, size ya mazao na radha ya mazao pia
 
Back
Top Bottom