Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Hehehe kwa kweli hii post imenitia uchungu sana babu. Ukiona mtu mzima anauza asset kwa bei ya kutupa ujue vyuma vimekaza kweli kweli.

Aah weye na mie baba, ntakununua wewe, Bia zako na kreti (nikikuchoma mishkaki najua grocery inasimama kabisa).
So kind of you...

Nami nauza bia zangu nne....
 
Aisee sinunuagi hivi vyombo vilivyotumika...hilo jaba waweza kuta lilikuwa linatumika chooni
 
Hehehe kwa kweli hii post imenitia uchungu sana babu. Ukiona mtu mzima anauza asset kwa bei ya kutupa ujue vyuma vimekaza kweli kweli.

Aah weye na mie baba, ntakununua wewe, Bia zako na kreti (nikikuchoma mishkaki najua grocery inasimama kabisa).
Najua unajua kuwa ahadi ni deni....
 
Hivi wanazuoni albadir inampata mtu anayenunua mali iliyokwibwa sehemu? Maana nina shida na jaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom