Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Naomba nikununulie..
Ahsante mwaya. Ila kulisafirisha toka Ubungo mpaka Bunju inaweza ikala kwangu mazima...
7USVB3kj4vyBGYMuzgFakY77rE7YO8c4z05tVnsZKYboLZwfwvmja3puDQK9rCBdbus=h900
 
Picha tuone ubora wake kwanza me pia nipo ubungo nalitaka
 
Habari wana jamii.
Nauza Jaba la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 60.
Nilikuwa nahifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya ndani kama kunywa,kupikia nk.
Rangi nyeusi
Nimetumia muda mfupi.
Bei ni Tsh4,000
Napatikana Ubungo.
Nichek PM
Weka picha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom