Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Mkuu, kama sababu ya kuliuza ni kupata hiyo pesa, naomba unipe namba yako ya simu pm nikununulie wewe mwenyewe hilo jaba. Ila kama unaliondoa kwa sababu tu hulihitaji ama unahitaji nafasi iliyolikalia, hakuna neno. Sisi wote ni watz na hii ni nchi yetu. Niko serious kabisa.
Nimetuma pm mkuu
 
mambo yamekuwa magumu kweli sasa si uwauzie mtaani kwenu jamani mtu utamuuzia 4000 halafu asafirishe tena khaaaaaa
Yaani nipite nyumba zote kutangaza hadi nipate anayehitaji ili wote wajue pia kumbuka naweza kosa mteja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom