Ujazo wa Tan 1 ndio sawa na nini behewa moja la treni?zaidi yabTani 1
Unamaanisha "hiliki"?Kwa wanaohitaji Iliki kutoka Morogoro maeneo ya Matombo ninazo nyingi huku zaidi yabTani 1 na hivyo nauza kila Kilo 1 kwa kiasi cha sh.31,000(elfu thelathini na moja) tu.
Kwa anaye hitaji anicheki kwa namba hii 0657783083
Lugha za matamshi na maandishi ni tatizo kwetu ...nashukuru kwa masahihishoUnamaanisha "hiliki"?
Urozi=Ulozi
Rafudhi=Lafudhi
Lahisi=Rahisi
Mrenda=Mlenda.
Tani moja ni sawa na magunia 10Ujazo wa Tan 1 ndio sawa na nini behewa moja la treni?
Ni iliki na siyo hilikiUnamaanisha "hiliki"?
Urozi=Ulozi
Rafudhi=Lafudhi
Lahisi=Rahisi
Mrenda=Mlenda.