nauza iphone 4 kamili ikiwa imepasuka kioo kina crack nyingi sana

Tafadhali ungejifunza kabla ya kutangaza na wewe jinsi wenzako wanavyoweka tangazo la biashara hasa hii ya simu.
Nakuonya kwa leo kwa sababu ni mgeni ila weka picha ya bidhaa yako
Safi sana ushauri wa kibabe
 
Back
Top Bottom